msinione kimya jamani....

Unadhani umeongea?
Bado hujasema ! Na bado , Utatoa siri zako zote !
Kufilisika mchezo, nakuoneaje "uluma"
so far umewekwa kihaus na Konnie unalishwa!
Unaveshwa, na matumbuzi mengine juu ya anaekuelea !
Pole wee BEPARI USED !
 
Si useme tuu umefulia na hela ya net huna
tajiri la kihaya linakosa hata ipad na blackberry na iphone za kukaa hata kitandani unachat huku ukipepewa Bishanga shikamooo
 
Last edited by a moderator:
Unadhani umeongea?
Bado hujasema ! Na bado , Utatoa siri zako zote !
Kufilisika mchezo, nakuoneaje "uluma"
so far umewekwa kihaus na Konnie unalishwa!
Unaveshwa, na matumbuzi mengine juu ya anaekuelea !
Pole wee BEPARI USED !

Mkuu Judgment kama tulikuwa na mawazo sawa hebu some post yangu hapo Nicas Mtei habari zako bana
nasikia ulipigwa na mwiko wa kusongea ugali mpaka leo una nundu kichwani na ukasingizia boda boda
 
Kufuliwa ni noma sana. Full dipreshen kila mda. Bishanga amekuwa uzdi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Judgment kama tulikuwa na mawazo sawa hebu some post yangu hapo Nicas Mtei habari zako bana
nasikia ulipigwa na mwiko wa kusongea ugali mpaka leo una nundu kichwani na ukasingizia boda boda

hahahahaha. Kaka unanipga hata mimi? Mimi na wewe hatujakutana barabarani.. Mi nlienda Lushoto kwenye Mazishi ya baba wa Madame B na Kijino... Usiungane na Erickb52 kwenye tmu yake ya fitna na majungu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mtaji huu uliojiabisha hapa ya kuwa refugee kwa konnie , na always camp si nyumba ya kudumu!
Soon utapugwa na hapo!
Sitoshangaa ukija tutangazia tena umewekwa kinyumba na Jane sifuri 3 !
 
hahahahaha. Kaka unanipga hata mimi? Mimi na wewe hatujakutana barabarani.. Mi nlienda Lushoto kwenye Mazishi ya baba wa Madame B na Kijino... Usiungane na Erickb52 kwenye tmu yake ya fitna na majungu.

Mtei kulikoni tena unagugumia ?
Nway ukisikia kelele gizani ulipotoka kumwaga maji ya ukoko jua ......
Mr Rocky uwe unaangalia gizani .
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha. Kaka unanipga hata mimi? Mimi na wewe hatujakutana barabarani.. Mi nlienda Lushoto kwenye Mazishi ya baba wa Madame B na Kijino... Usiungane na Erickb52 kwenye tmu yake ya fitna na majungu.

Mkuu Erickb52 yeye anajulikana ni mzee wa majungu na fitina aise
Ila yeye ndo alinidokezea kuwa kuwa ulipigwa na mwiko na ukasingizia boda boda
Na kuwa unalazwa mzungu wa reli mwezi karibu sasa
Pole sana mkuu
Nimekusoma Mr Rocky !
Hayu jamaa kushney , mi nadhani iko haja kumfanyia fund rise !
Ni bakuli tu ndiyo litamrudisha road
Judgment bepari la kihaya ni la kuhurumia
Usije kuta hata hapa kashanyang'anywa hata simu aliyokuwa anatumia
anatakiwa kuombewa huruma na bakuli la mchango lipite aise
 
Last edited by a moderator:
Mtei kulikoni tena unagugumia ?
Nway ukisikia kelele gizani ulipotoka kumwaga maji ya ukoko jua ......
Mr Rocky uwe unaangalia gizani .

mkuu Judgment nimeangalia bana ndo maana nikasema taratibu
yako mengi sana ya Nicas Mtei yanajulikana ila nimeamua kukaa kimya asije akaumbuka mzee mzima hapa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Erickb52 yeye anajulikana ni mzee wa majungu na fitina aise
Ila yeye ndo alinidokezea kuwa kuwa ulipigwa na mwiko na ukasingizia boda boda
Na kuwa unalazwa mzungu wa reli mwezi karibu sasa
Pole sana mkuu

Judgment bepari la kihaya ni la kuhurumia
Usije kuta hata hapa kashanyang'anywa hata simu aliyokuwa anatumia
anatakiwa kuombewa huruma na bakuli la mchango lipite aise
Hahahahahaaaaaa Mr Rocky umenifanya nicheke hadharani aisee
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Erickb52 yeye anajulikana ni mzee wa majungu na fitina aise
Ila yeye ndo alinidokezea kuwa kuwa ulipigwa na mwiko na ukasingizia boda boda
Na kuwa unalazwa mzungu wa reli mwezi karibu sasa
Pole sana mkuu

Judgment bepari la kihaya ni la kuhurumia
Usije kuta hata hapa kashanyang'anywa hata simu aliyokuwa anatumia
anatakiwa kuombewa huruma na bakuli la mchango lipite aise

hahahahaha. Ina maana Erickb52 mzee wa ndyofu ndo kapika jungu hlo? Duh!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom