Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Imekuwa si jambo la kushtua wala kustaajabisha pale inaposikika mtu anasema kuwa anachukia kitu flani katika mwili wake. Wapo wanaochukia matiti yao, wapo wanaochukia vichogo vyao, wapo wanaochukia miguu yao{hasa hasa wale wenye njiti}, wapo wanaochukia uwaraza, wapo wanaochukia vitambi n.k.
Je wewe unachukia kitu gani katika mwili wako?
Ijulikane:Nia si kumkosoa Mungu.
Je wewe unachukia kitu gani katika mwili wako?
Ijulikane:Nia si kumkosoa Mungu.