nakata rufaa kupinga matokeo

nakata rufaa kupinga matokeo

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
mi simuamini Ruhazwe JR, nakata rufaa ya matokeo ya ms. chitchat. charminglady alistahili kutwaa taji ila bwana Lundenga kwa maslahi yake binafsi kaamua kumpa mtu mwingine,

iundwe tume kuchunguza hili, pia napeleka barua kwa mwanasheria wetu
 
Last edited by a moderator:
Suala lako limefika baraza kuu la sheria la mashindano ya miss chit chat ,andaa ushahidi wako na lawyer wako ,nikiwa kama mdhamini wa miss chitchat sihitaji kampuni yetu ipate doa lolote,
 
Ijapokuwa siyo mdau wa jukwaa lengwa ila huyu member aliyepewa sikutarajia kama angepata nafasi hiyo! Kata rufaa Best!
 
Last edited by a moderator:
Nitatoa hukumu. Nasubiri vielelezo. C6 wasilisha vielelezo vyote.

judge-mathis.jpg
 
Last edited by a moderator:
mimi ntatoa ushahidi wa maandishi na kuwaelezea mbinu alizo tumia Rundenga kuchakachua. Hapa inabidi iundwe tume huru ya uchaguzi. mimi nataka kura zipigwe kwa siri kama tulivyo zoea. Hii ya hadharani inafanya watu wapige kura kwa kufuata mkumbo na wengine wanapiga kura kwa kujipendekeza. Mkuu kata rufaa tushinikize tume hury harafu matokeo ya mwezi huu yatenguliwe. Iweje watu wapige kura maa 17 wakati kupendekeza imechukua wiki mbili?. Rundenga unalo hilo. mia
 
Maelezo yakinifu yanahitajika hapa C6 haijakaa njema hii
 
Last edited by a moderator:
mi simuamini Ruhazwe JR, nakata rufaa ya matokeo ya ms. chitchat. charminglady alistahili kutwaa taji ila bwana Lundenga kwa maslahi yake binafsi kaamua kumpa mtu mwingine,

iundwe tume kuchunguza hili, pia napeleka barua kwa mwanasheria wetu

morning huz, kumbe nawe umeona eeh!
 
Last edited by a moderator:
Suala lako limefika baraza kuu la sheria la mashindano ya miss chit chat ,andaa ushahidi wako na lawyer wako ,nikiwa kama mdhamini wa miss chitchat sihitaji kampuni yetu ipate doa lolote,

mi nna tatizo na muandaaji wa hili shindano, naandaa ushahidi, soon ntawakilisha hapa
 
mimi ni maoni tofauti yuu ya uboreshwaji wa shindao la miss chit chat.

Kwanza baada ya wagombea kupendekezwa inabidi kila hatua iundwe Poll Box pale juu ya uzi kabisa ili mtu avote kwa mtu anayemtaka kisha baada ya hapo ndiyo aanza longolongo katika post za chini.

Hii itasaidia kila mshiriki kuona kura zake kirahisi badala ya kuzitafuta chini na kumfanya akeshe kuhakikisha hazichakachuliwi!!

Hii inaweza kuanza kutumika kuanzia nuu fainali ambapo kila mshiriki hugakiwa kuvote kwa mtu mmoja tu.

Kampeni hazina shida sana maana itakuwa ni humasisha watu wafungue uzi waje kuvote na jina la mtu aliyevote linatambuliwa na system.
 
Ni kweli mkuu hata mimi huu mfumo wa kupiga kura waziwazi sikuhafiki maana mtu anakuwa hayuko huru
 
haahaaaaa jaman mmenifanya nicheke hapa mjue sasa tutafanyaje unavyoonaga siku zote wale wasidhaniwa kushinda ndo wanashinda we hujiuliz kwa lundenga wa ukweli kwanin wasomi hawaashind mtu anenda kule darasa la saba form 4 kwisha habari unategemea nin pole shost sikupiga kura though bt potezea tuu kama ipo ipo we ndo mkali wao
 
Back
Top Bottom