Chagua ciello chagua mabadiliko

Chagua ciello chagua mabadiliko

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
4,274
Reaction score
2,523
Nashukuru wana chit chat wote kwa kura yenu nusu fainal.nawaomba tujumuike kwenye hii awamu ya mwisho ili tuweze kushinda, mamito@snowhite Madame B Kipipi Natalia@smile@nivea@kaunga@Zinduna@King'asti na wanachit chat wote naomben kura zenu na sapoti yenu.Yes together we can
 
Last edited by a moderator:
Kama nilivyosema awali kwenye hatua ya nusu fainal, nia ya hili taji ninayo, uwezo ninao na ni wakati mwafaka wa kumpata miss mpya mwenye mawazo mapya na uwezo wa kulichangamsha jukwaa.peke yangu sitaweza ila nikipata support yenu naamin ninaweza kupeperusha taji hili.karibun mnipigie kura!
 
Takrima ya mzigo ipo? Twende pm tukapange mikakati ya ushindi mamiii
 
Shaka ondoa mdogo wangu Ciello, ngoja nikakupigie sasa hivi.......ushindi unao
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mkuu kiluvya nasubiri kura yako,shosti Preta naomba kura yako, mkuu Filipo shosti@Anita Baby naomba kura yako.VOTE 4 CIELLO VOTE 4 CHANGES!! Together we can
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom