Naazimisha usingizi!

Ruzyfar

Member
Oct 28, 2012
55
2
Kwa wale watongozaj wa kuxemaga ".. ..ucku silal nakuwaza..."
hapa ucngz unakodshwa kama hutapata ucngz karibu xana! Upate ucingz!
 
Unauza bidhaa aina moja tu ?
Tajataja na zingine basi !
Wengine tuna utajiri wa usingizi .
 
Bidhaa ni moja 2 ucngz! Pia vat ni exclusive coz bdhaa ni ya magendo yan cjaulipia ushuru ucngz! Yan ki2 cha pakstan!
 
Mie nakopesha njozi. Unachagua mwenyewe ndoto tamu, chachu ama chungu.

Bora wewe ndiyo wa kufanya na mimi biashara !
Kwanza una kaulimi katamu kakauzia, kuliko huyu mtoa mada , yuko kibabebabe ilhali anauza vitu laiyni .
Sasa ndiyo nimejijibu kua ndiyo maana ulimnasa kiulaiyni yule braza anaekwenda na W mwishoni mwa jina lake.
Btw patianga mimi price ya hizo madrimz swit .
 
Sasa si na uchanguange kwanza ndipo nikupeane mapraisi zake?
Juu utatoanga matip, hata madiscount nitakupatianga mazee

Si unajuanga mi ni mdoszi sinaga na maproblem mingi ya mapeni ndogondogo! Mi ako na pesa bwanaa! Ujuangi ? So mi nita'buy makitu yote vile unayo kwa ngiri-ngiri !
Na si unisambazae bwanah !
Wajua tudei niko na mastress zangu , tena ziko mob ! Do fasta ni avoid mashida zangu .
 
Back
Top Bottom