Just imagime umepewa nafac ya kpekee kumchagua m2 m1 unaempenda aish milele...JE ungemchagua nan kat ya hawa?
1.mama
2.baba
3.mpenz
4.mtoto
5.mtaje mwenyew
Kichwa cha habari Chahusika.
UTANGULIZI
Takribani wiki mbili zilizopita nilileta kwenu taarifa ya kutengua uhusiano batili kati cha Chimbuvu na mke wa mtu Madame B. Kathka taarifa ile...
Baada ya kuchoka sana na kazi, kesho jumapili(02.12.2012) nataka nitoke na dada moja hapa JF Chit Chat nikatembee Beach. Nitafurahi sana kama atajitokeza kwa kuni PM ili tuwasiliane.
Kichwa cha Habari Chahusika.
Jamani Member wenzangu wa ChitChat mnaonaje tukawekeana Mikakati Ya Kuanzisha Party Maalum kila Mkoa kwa Ajili ya Wana ChitChat pekee..???.
Si lazima Tusaze,Kukutana...
Juzi police kawakamata jamaa wawili akaanza kuwauliza maswali kila mmoja,
Mazungumzo yao yalikua hivi;
Police;unafanya kazi wapi?
Jamaa wa kwanza;sifanyi kazi popote...
Kuna mwana Chit-Chat mwenzetu aitwaye manoah naona leo kapagawa na jini maimuna!
Tangu asubuhi amekazana kufungua thread zisizo na mbele wala nyuma!!
Nadhani week end yake aliitumia vibaya...
the game goes like this, i make a sentence afu the next poster anatumia my last word kutengeneza sentensi ingine mfano; i need a plate of rice. then the next post might say rice is full of starch...
"DIAMOND ALINILOGA NAKUNIFANYA NIKOHOE DAMU NA NYWELE ZA BINADAMU".......TANZANITE
Tanzanite, msanii aliyeibuka na kusikika zaidi katika masikio ya fans wengi wa bongo fleva baada ya...
Siku mbili zilizopita kuna mjamaa hapa alifukuzwa kazi. Siku aliokuwa anondoka kwenda makwao akkutana na mjamaa mwingine tunaye fanya nae kazi, huyo jamaa alikuwa amempa kadi ya mchango wa harusi...
Wadau habari za usiku. Nimepokea sms hii kwenye simu yangu kupitia mtandao wa Airtel: "YOU HAVE WON 2 MILLION POUNDS IN THE FREE LOTTO UK MOBILE PROMO. FOR CLAIMS EMAIL US : freelt@wss-id.org...
Mwalimu wa Historia anawauliza wanafunzi wake
Mwalimu: Eeenhe! Ni nani aliyemuua Chifu Mkwawa?
Mwanafunzi wa kwanza; Aka sio mimi!
Mwanafunzi wa pili:Wallahi siyo mimi ati!
Mwnafunzi wa tatu: Sio...
Nimeangalia mpira wa Sunderland na Norwich umenifurahisha sana! Ila nimeboreka na Sunderland, jezi zao zimeandikwa INVEST IN AFRIKA! Ndio maana wamefungwa manina zao!
Miaka mitatu iliyopita kuna mwanamke mmoja mfanya biashara, alifikia nyumbani kwetu akitokea kwenye biashara zake, alikuwa akifikia kwetu mara kwa mara kwani aliwahi kusoma chuo cha tiba na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.