Mikakati katika Kuanzisha JF ChitChat PARTYYY..!!!!!

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
29,967
32,240
Kichwa cha Habari Chahusika.
Jamani Member wenzangu wa ChitChat mnaonaje tukawekeana Mikakati Ya Kuanzisha Party Maalum kila Mkoa kwa Ajili ya Wana ChitChat pekee..???.
Si lazima Tusaze,Kukutana nako ni Party Tosha.
Ila Nashauri Wageni Waalikwa wawe MMU na Jukwaa La Siasa.
Asanteni.

Naomba Upendekeze Mkoa au Nchi uliyopo na Majukumu Yako.

Naanza:
Mimi nitakuwa Mweka Hazina.
Na ukumbi uwe Uwanja wa Fisi Manzese.
 
Mh,umeanza kwa kujipendekezea utunza hazina!
Du!
 
Kichwa cha Habari Chahusika.
Jamani Member wenzangu wa ChitChat mnaonaje tukawekeana Mikakati Ya Kuanzisha Party Maalum kila Mkoa kwa Ajili ya Wana ChitChat pekee..???.
Si lazima Tusaze,Kukutana nako ni Party Tosha.
Ila Nashauri Wageni Waalikwa wawe MMU na Jukwaa La Siasa.
Asanteni.

Naomba Upendekeze Mkoa au Nchi uliyopo na Majukumu Yako.

Naanza:
Mimi nitakuwa Mweka Hazina.
Na ukumbi uwe Uwanja wa Fisi Manzese.

Mi sinaga jukwaa maalum huwa natangatanga a.k.a napuyanga huku na huko! je ntapata mwaliko?...
 
Ahsante Madame B. mpenzi! Mambo yote tufanye hapa Arusha nami ndio chairman wa wanaCHIT CHAT hapa. My worry ni wajumbe wakija hapa hawatapenda kurudi makwao. Arusha raha jamani.
 
Back
Top Bottom