Mawaiba
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 417
- 150
Wadau habari za usiku. Nimepokea sms hii kwenye simu yangu kupitia mtandao wa Airtel: "YOU HAVE WON 2 MILLION POUNDS IN THE FREE LOTTO UK MOBILE PROMO. FOR CLAIMS EMAIL US : freelt@wss-id.org. Call: +447031993179". Naomba kama kuna mtu anaejua ukweli kuhusu message za aina hii atujuze, maana nahisi kuna watu wataingia mtegoni bila kujijua. Asanteni.