Nina one million nahitaj kufanya biashara yenye faida nzur,,naweza fanya biashara gan wadau.....
Nina one million nahitaj kufanya biashara yenye faida nzur,,naweza fanya biashara gan wadau.....
Mi naogopa sana post za kurushwa usiku wa manane,warushaji wengine ujue huwa ndo kwanza wametua na ungo,sasa jamani hii post na mada husika wapi na wapi?
Mimi naziogopa sana post za asubuhi kwasababu muda huo ndo anakuwa katua halafu ndo anausingizi balaaaaa!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
he heeeeee, weekend hiyo mlongo wangu, si unajua tena mambo ya TEJA?hapa sasa ungonini huwa tunasema ZIKONGINI! FP dada mkubwa wapi wewe !af umeadimika siku mbili hizi!hebu kuja huku utoe ufafanuzi jadidi!