Beach beach beach beach

Beach beach beach beach

Von Mo

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Posts
1,819
Reaction score
1,188
Baada ya kuchoka sana na kazi, kesho jumapili(02.12.2012) nataka nitoke na dada moja hapa JF Chit Chat nikatembee Beach. Nitafurahi sana kama atajitokeza kwa kuni PM ili tuwasiliane.
 
hayaaa ni pm, tukutane nyama choma festival, hapa postal kijitonyama
 
Taja beach mkuu na eneo husika,beach sio dar tu,isikute beach mavi.na wake za watu lakini ni wadada wa jei efu pia unahitaji kutoka nao?
 
Back
Top Bottom