Let's Play This Game, USIHARIBU

Hoshea

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,272
2,000
the game goes like this, i make a sentence afu the next poster anatumia my last word kutengeneza sentensi ingine mfano; i need a plate of rice. then the next post might say rice is full of starch. the next might say starch is good for the body e.t.c haya sasa naanza

Where are you going tonight
 

Hoshea

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,272
2,000
dah we ushazingua, ushaharibu sasa, naijua ile si ilikuwa kwa kiswahili bana
:nimekataa
 

Penguine

JF-Expert Member
Nov 29, 2009
1,306
2,000
Marudio! Ilikuwepo kwa kiswahili! Samahani kama ntakuwa nimeharibu!

Nafikiri siyo kwamba kila msomaji wa leo aliisoma hii thread ktk ziiiiiile siku nyingi ambazo wewe uliisoma Sweetlady. Could u pls be sweet to other readers?
 

sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,959
1,250
Akuchoshe we na nani? We kama hujisikii kuijibu pita kimyakimya kwani thread ni hii tu? Usitake kupangia watu cha kufanya. We vipi mama?
He he he ! Sasa mbona na wewe umezidi kuharibu? Nikupangie chakufanya mie nakujulia wapi? We vipi baba ?
 

Franky

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
1,467
2,000
afu sijaona ngumi siku nyingi em piganeni kwanza me naangalia tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom