TAMKO:YAH:Kuvunjwa rasmi kwa uhusiano baina ya madame b na chimbuvu.

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,515
Points
1,500

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,515 1,500
Kichwa cha habari Chahusika.
UTANGULIZI
Takribani wiki mbili zilizopita nilileta kwenu taarifa ya kutengua uhusiano batili kati cha Chimbuvu na mke wa mtu Madame B. Kathka taarifa ile niliwataka Madame B na Chimbuvu kusitisha maramoja uhusiano wao batili au la waurasmishe kwa sheria na taratibu halali za hapa chit chat.Hatua hiyo ilifikiwa baada ya kujitokeza yafuatayo
i.Malalamiko yaliyofikishwa mbele ya tume yangu na ndugu Ruttashobolwa ambae ndie mume halali wa Madame B
ii.Malalamiko yaliyoletwa kwangu na wanachit chat wengi tu juu ya tabia inayokera ya Madame B na Chimbuvu ya kutoheshimu ndoa hivyo kulipaka matope jukwaa tukufu la chit chat.
iii.Barua rasmi iliyoletwa kwangu na shemeji zake Madame B ambao ni ndugu zake Ruttashobolwa wakitaka hatua za haraka zichukuliwe dhidi ya wahusika. ndugu hao ni Judgement, Bishanga na nitonye.
iv.Hali ya sintofahamu iliyotokea hapa jamvini baada ya Madame B kudaiwa kuwatapeli kimapenzi wadau tedo na chilli.

Baada ya taarifa ile wahusika hawakuonyesha utayari wa kutekeleza maelekezo HALALI ya tume na kuendelea na uhusiano wao unaotia kinyaa.
Tangu jana tarehe 28/11/2012 nilikuwa napitia ripoti za kamati ya SCREENING ,SHERIA na ile ya MAADILI, na baada ya kujiridhisha natoa maazimio yafuatayo
i Madame B akiri kuwa yeye ni mke halali wa Ruttashobolwa kama inavyofahamika hapa na aombe msamaha kwa wana chit chat wote kwa usumbufu aliousababisha.
ii Chimbuvu atoe tamko rasmi la kuachana na Madame B na aombe msamaha kwa usumbufu aliowasababishia wana chit chat wote.
Hayo yote yafanyike kabla ya siku ya ijumaa tarehe 30/11/2012 saa tano asubuhi. Kushindwa kufanya hivyo kutapelekea hatua zifuatazo kwa wahusika zikiwa kama ni hatua za awali.
i Madame B na Chimbuvu kutopewa LIKE na mwana chit chat yeyote katika post zao.
ii.Kuto QUOTE post yoyote ya Madame B au Chimbuvu.
iii.Kuwekwa hadharani kwa picha zao ZA AIBU walizopigwa bila wao kujua.Kazi hii itafanywa na Asprin na Mtambuzi.
iv.Kusutwa hadharani wote wawili wakiwa wamevishwa kanga na kupakwa majivu. Kazi hii itafanywa na gfsonwin cacico snowhite ,FP lara 1 Ciello na Zinduna chini ya usimamizi wa malafyale watu8 huku ikifadhiliwa na Arushaone na Bishanga.
Aidha tume inampongeza sana ndugu Ruttashobolwa kwa kuonyesha busara na utulivu wakati tume ikishughulikia suala lake.
Mwisho natoa wito kwa wadau wote kusimamia utekelezaji wa maazimio na kusimamia taratibu halali zilizowekwa.
Baba V
MWENYEKITI WA TUME ZA KURATIBU MAHUSIANO NA NDOA CHIT CHAT 2012
 
Last edited by a moderator:

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,942
Points
2,000

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,942 2,000
sawa Mwenyekiti!
ANGALIZO
mi nimeajiriwa na Madame B ,na ni ajira ya kudumu!na hata hiyo kampuni ya msuto ye ndo CEO,
licha ya hivyo yeye ana mawasiliano na tenderer wote ambao ni maservice provider!
kusema ukweli natangaza Conflict of interest!
 
Last edited by a moderator:

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,515
Points
1,500

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,515 1,500
sawa Mwenyekiti!
ANGALIZO
mi nimeajiriwa na Madame B ,na ni ajira ya kudumu!na hata hiyo kampuni ya msuto ye ndo CEO,
licha ya hivyo yeye ana mawasiliano na tenderer wote ambao ni maservice provider!
kusema ukweli natangaza Conflict of interest!
Kuhusu kuhofia kibarua chako, sawa kaa pembeni ila usishirikiane nae kwenda kinyume na matakwa ya tume.
Kuhusu yeye kuhusika katika MSUTO hiyo siyo kinga kwake, nilimuweka mimi kwenye kamati and i can uproot her anytime at my disposal
 
Last edited by a moderator:

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,515
Points
1,500

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,515 1,500
Last edited by a moderator:

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,942
Points
2,000

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,942 2,000
hvi Nicas Mtei
huko ulipo wanakufanyaje na hii keyboard yako
manake mi sikuelewi shemeji!sikuelewi kabisa!
sijui kama upo salama lakini!nina mashaka sana!haiwezekani we kila unachokipost humu ukidelete!nahisi kuna mtu anakudeletia!na sitaki kuamini kama huna maslahi binafsi katika hili!
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,389,291
Members 527,879
Posts 34,022,221
Top