Hivi Huu ni uungwana?

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
2,424
Points
2,000

chardams

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
2,424 2,000
Siku mbili zilizopita kuna mjamaa hapa alifukuzwa kazi. Siku aliokuwa anondoka kwenda makwao akkutana na mjamaa mwingine tunaye fanya nae kazi, huyo jamaa alikuwa amempa kadi ya mchango wa harusi. Mazingumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo:

Aliekpo Kazini: Vipi bwana naona unaondoka, mbona ghafla

Aliefukuzwa: Aah Ndio hivyo bwana imeishatokea


Aliepo Kazini: Sasa vipi kuhusu ile kadi yangu ya mchango wa arusi.

Alifukuzwa: Ndo naingia hapo kwa msasibu kuchukua kilicho changu nikitoka ntakuona


Mwisho wa kunukuuu.


Hivi kama we ndo ungekuwa umefukuzwa kazi ungemuelewaje huyo jamaaa.

Na je huo ni uungwana? Mtu anasikitika kafukuzwa kazi wewe unamdai mchango wa harusi.


Ni nini mtazamo wenu wadau/
 

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,515
Points
1,500

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,515 1,500
Kuna mtu alinikumbusha mchango wake wa harusi nikiwa mkoani nimepeleka nyumbani msiba wa mwanangu wa kumzaa na siku naondoka alikuja kuniaga. People are very selfish indeed
 

Forum statistics

Threads 1,389,292
Members 527,903
Posts 34,022,386
Top