Ungefanyaje????????????????

Ungefanyaje????????????????

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,480
Reaction score
946
Juzi police kawakamata jamaa wawili akaanza kuwauliza maswali kila mmoja,
Mazungumzo yao yalikua hivi;

Police;unafanya kazi wapi?

Jamaa wa kwanza;sifanyi kazi popote!
sijaajiriwa.

Police; na wewe?

Jamaa wa pili;mimi ni msaidizi wake!


Je ungekua wewe ndo police ungechukua hatua gani????????
 
Duh!hiyo kali!ningemsamehe wa kwanza,wa pili angenipeleka ofisin kwake!
 
Back
Top Bottom