Invest in Afrika

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
716
500
Nimeangalia mpira wa Sunderland na Norwich umenifurahisha sana! Ila nimeboreka na Sunderland, jezi zao zimeandikwa INVEST IN AFRIKA! Ndio maana wamefungwa manina zao!
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,135
2,000
mbona hayo maneno si kwamba yana kasoro, "Invest in Africa" kwani ina maana mbaya au umeielewa vibaya??
 
Top Bottom