Supu ya nyama ya ng'ombe

bothlegs

Senior Member
Apr 14, 2009
114
225
Unaingia Hotelini au Mkahawani na unaagiza supu ya nyama ya ng'ombe.Ukiwa umekaa huku ukisubiri hiyo supu mara anakuja muhudumu na kuuliza nani ng'ombe?Utasemaje?
 

Fekifeki

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
1,343
1,500
Maneno mengine yanakuwa na maana kulingana na mazingira! Jibu hapo ni MIMI, Haina ubishi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom