Broda, ushaandika mgawanyo wa urithi ?
Usije ukaacha akina 'V' Victor wanapigana visu.
In case... basi RIP!-source Preta.
Baba V pole sana mtu wangu kwa mtikisiko wa afya.
Dawa za Malaria ni nyingi, lakini kwa typhoid tafuta dawa inaitwa Fluccamol, utasahau hiyo makitu...shida inakuja tu kama ni mtu wa makonyagi, itabidi uende hibernation kwa siku 10, inataka roho ngumu.
Dear friends Baba V naumwa balaa, ni mwendo wa malaria feat. Typhoid, pray for me brothers and sisters!,ni siku ya tatu leo nipo kwa kitanda, all i can do ni kuingia Jf via my mchina
Dear friends Baba V naumwa balaa, ni mwendo wa malaria feat. Typhoid, pray for me brothers and sisters!,ni siku ya tatu leo nipo kwa kitanda, all i can do ni kuingia Jf via my mchina