12/12/12

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Ama kweli Mungu ni wa ajabu leo ni tarehe 12/12/12 ambayo hutokea mara moja na huwa haijirudii tena. Una kipi cha kusema ktk siku ya leo??
 
Hiyo miaka yenu ya kukariri huu ndio wa mwisho! Mwakani msitegemee 13/13/13!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom