Haya ndo majibu ya kuwapa wadada wapiga mizinga!


Tangopori

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Messages
1,637
Points
1,500
Tangopori

Tangopori

JF-Expert Member
Joined May 11, 2012
1,637 1,500
Nancy: dia nipo kariakoo, kuna jeans nimeiona imeipenda inauzwa 25000 tu, ningenunua sema wallet nimesahau nyumbani, please nirushie tigopesa darling
Peter: *150*01#...
TigoPesa: Umepokea Tsh 600 toka kwa Peter....
Nancy: Dia mbona mia 6 tu?
Peter: Nauli, 300 kwenda home kuchukua wallet, 300 kurudi Kkoo kuinunua. Vipi ni nyeusi? Maana dia ukiwa kwenye nyeusi unatokaga bomba sana.
wish to see u in it!
 
atubariki

atubariki

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2011
Messages
225
Points
170
atubariki

atubariki

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2011
225 170
Mwana we mkali kweli hayo ndo majibu unatisha
 
Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Messages
4,400
Points
1,225
Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2012
4,400 1,225
Money is the answer of everything,akikutosa usije kushangaa
 
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,741
Points
2,000
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,741 2,000
stevoh aliileta hapa hapa jana, nawe andazi la kuchoma unarudia as if umeanzisha wewe? Kuwa mbunifu bhana.
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,285,942
Members 494,834
Posts 30,879,924
Top