Nyengine tano ziko nyumbani


bothlegs

bothlegs

Member
Joined
Apr 14, 2009
Messages
98
Points
95
bothlegs

bothlegs

Member
Joined Apr 14, 2009
98 95
Kuna jamaa mmoja mshamba kipindi kile cha ujio wa chupi za V.I.P ,alinunua chupi saba za rangi mbalimbali ili kuwaonyesha watu kwamba amenunua chupi mpya.Ili kujionyesha kama anachupi mpya alivaa seruni(msuli) kisha akaenda ufukweni mwa bahari na kukalia gogo huku ile seruni ameiachia kidogo kiasi ambacho mtu akipita mbele yake anaiona ile chupi aliyovaa.Ghafla haja kubwa ikambana,akaamua kuvua chupi ili anye lakini ile seruni ameikunja kidogo.Baada ya kumaliza kuweka kinyesi na kuisafisha,akarudi kwenye lile gogo,akakaa kama vile mwanzo.Kumbe yule jamaa alisahau kuivaa ile V.I.P yake.Baada ya kitambo wakapita wasichana wadogo watatu mbele yake.Mmoja kati ya wale akawanong'oneza wenzake kwamba yule jamaa hakuvaa chupi na uume wake unaonekana.Vile vibinti baada ya kutembea hatua chache vikarudi nyuma ili kjionea sinema ya bure.Kuona vile wale wasichana wamerudi na kujipitisha mbele yake,yule jamaa akawauliza wale wasichana mnashangalia hii,nyengine tano ziko nyumbani. Tena akaendelea kujigamba nina nyekundu,nyeusi,manjano,bluu,kijani na hii niliyonayo hapa ni nyeupe.Kusikia vile wale wasichana wakatimka mbio.Jamaa kujitizama kumbe yuko uchi.
 
ndendi

ndendi

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Messages
628
Points
225
Age
40
ndendi

ndendi

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2012
628 225
hiyo kaka ni ya zamani,ila imerudi kivingine,wacheck wasanii wetu wa bono flaver.
 

Forum statistics

Threads 1,283,843
Members 493,850
Posts 30,802,759
Top