hii jama kali

hii jama kali

Abdul Jamal

New Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
2
Reaction score
1
binafsi huwa nafikiri kuwa katika matatizo yote duniani theluthi mbili tunayo afrika.tatizo la usafir n sehem ya theluthi hiyo mbili.mataifa ya magharibi na mashariki ya kati huwa na theluthi moja km;mabadiliko ya hali ya hewa na kadha wa kadha. Lakini hali n tofaut kumbe had wachina wanamatatizo ya usafiri .hebu tazama hawa
 

Attachments

  • 395080_300102823440606_1102544471_n.jpg
    395080_300102823440606_1102544471_n.jpg
    9.3 KB · Views: 823
Loh!, hapo kuna mtu kama 9 hivi, wengine ndani ya ndoo, wamevunja Rekodi!
 
Back
Top Bottom