Dah! Toka juzi sijabanduka politics ila sasa presha ya kule imenishinda hali yangu sii nzuri kabisa
ebu wazoefu wa kule nisaidieni hapa ili japo kuishusha kidogo natamani kurudi kule maana kuna...
kuna watu wazima huko wanasutana mpaka basi,kama vipi atokee mtu awashauri waingie chitchat kidogo washushe munkari ndo warudi anga zao,vinginevyo watatoana macho.Yaani watu wazima wanavyovuana...
Heshima kwenu wana chit chat,
Tangu nimejiunga na Jf, Jan 2011, leo ni mara yangu ya kwanza kuingia jukwaa hili, inawezekana nikawa nmeshaingia, itakuwa kwa mlango wa nyuma (latest), lakini...
N Leo nimemaliza mwaka mmoja tangu nijiunge na JF. Nawashukuru wanaJF wote kwa maandishi yao kwenye majukwaa mbalimbali yaliyonielimisha, kuniburudisha na kunipunguzia stress za maisha.Jukwaa la...
Ndugu Wananchi,
Nimerudi kama nilivyoaga!!!!!!!!!!!!!!!!
Wakasemaaaaa...............Wakachongaaaaa!!!!!!!!!!!!! ....
Nikasema ni LOG IN mara kwa mara ili wasijesema nimepigwa BAN...
Ni...
Wakuu what do you think about the Mayan calendar; inadai the world would come to an end this friday yani kesho eti mazee si masikhara haya, tarehe (21:12:12). The Lord Jesus told us that the time...
Boss to an employee:
Do you believe in life after Death?
Employee:
Certainly not!
There's no proof of it, he replied.
Boss:
Well, there is now.
After you left early yesterday to go to...
A man checked into a hotel.
There was a computer in his room,
so he decided to send a mail to his wife.
However,
he accidentally typed the wrong email address,
'n
without realizing he sent...
Good Aftenoon JF
hatimaye leo nimefikisha 1000 posts. haikuwa rahisi maana kuna baadhi ya thread ni trolls na zingine sina ujuzi wa kutosha kuchangia :(. Anyways its been 345 days since joining...
Ingekuwa vipi kama kila unapomsaliti mkeo/mmeo jino moja linatoka.
Kudadadeki! Teh Teh Teh Teh Teh!
Saa hizi ungekuwa kibogoyo ndugu yangu. Mipengo na mifizi nje nje. Teh Teh Teh Teh Teh...
Jamaa baada ya kupewa kazi ya ukalimani wa lugha ya kingereza mambo yalikuwa kama yafuatavyo:-
MZUNGU:My name is LIVINGSTONE.
MKALIMANI:Jina langu ni JIWE LINALOISHI.
MZUNGU:I was born in NEW...
Ndugu wana CC, ikumbukwe kuwa hapo awali nilitoa sample moja ya JF wallpapers...kwa muda nilikua kimya ila sasa nimeweza kuongeza nyingine kama 4 au 5 hivi ikiwemo moja ya Christmas na Mwaka...
Wapo wanyama wengine ni wapole na wavumilivu hata kwenye mauti kama hawa.
http://www.youtube.com/watch?feature=endscreen&NR=1&v =wS1rU5SAskU
Pregnant wildebeest attacked by two hyenas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.