Mkalimani wa kiingereza

Mkalimani wa kiingereza

bothlegs

Senior Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
123
Reaction score
49
Jamaa baada ya kupewa kazi ya ukalimani wa lugha ya kingereza mambo yalikuwa kama yafuatavyo:-
MZUNGU:My name is LIVINGSTONE.
MKALIMANI:Jina langu ni JIWE LINALOISHI.
MZUNGU:I was born in NEW YORK.
MKALIMANI:Nilizaliwa katika KIINI KIPYA CHA YAI.
MZUNGU:When i was 25 years old i went to KINGSTONE.
MKALIMANI:Nilipotimia umri wa miaka 25 nilikwenda kaika JIWE LA MFALME.
MZUNGU:Then i got a transfer to JOHANESBURG for more research.
MKALIMANI:Baadae nikapata uhamisho wa kwenda kwenye MFUKO WA YOHANA kwa utafiti zaidi.
MZUNGU:Thank you all for listening.
MKALIMANI:Ahsanteni sana kwa kunisikiliza.
WASIKILIZAJI:Hili Zungu mwisho kweli.
 
Umemsahau yule mkalimani asiyejua ngeli wa muhubiri wa kikristo

Preacher: Jesus will come and punish you
Mkalimani: Yesu atakuja na kuwapandisha juu.
 
Back
Top Bottom