Im back.......................

Im back.......................

Kwani huyo Tonykp alienda wapi?

hata mimi nimejiuliza hivyo hivyo...

Hata mimi hivyo hivyo watu8

Tonykp where were you?

Mie ndo kwanzaaaaa namuona leo huyu. Lol!!

Hata mimi nimejiuliza hivyo hivyo!!
huyu ndugu stats zinaonyesha kajiunga jana, leo tayari anasema I am back......na kutuhakikishia alitumiss sana..... au kajivua gamba? kuwa muwazi Tonykp tukusaidie
 
Last edited by a moderator:
huyu ndugu stats zinaonyesha kajiunga jana, leo tayari anasema I am back......na kutuhakikishia alitumiss sana..... au kajivua gamba? kuwa muwazi Tonykp tukusaidie
Yap wifi, kumbe na wewe umemshtukia eeh?

Hujambo wifi kipenzi.
 
Last edited by a moderator:
Muda hujafika for me to reveal myself
 
Back
Top Bottom