1000th post

1000th post

Blaine

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
2,259
Reaction score
1,657
Good Aftenoon JF
hatimaye leo nimefikisha 1000 posts. haikuwa rahisi maana kuna baadhi ya thread ni trolls na zingine sina ujuzi wa kutosha kuchangia 🙁. Anyways its been 345 days since joining and I'm glad I made it this far. kwa wote waliopenda posti zangu nawashukuruni na wale niliowakwaza naombeni mnivumilie, this is my first real forum niliyodumu na kuposti as much as I have na bado najifunza 🙂. Nawatakia siku njema na amani ya Bwana iwe nanyi
 
Kwa hesabu za haraka unachangia mara tatu kwa siku sio mbaya,lakini ni vyema ukaongeza kasi kidogo, tunahitaji zaidi busara zako...
 
Back
Top Bottom