CBE na IFM ni kama Chelsea

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,023
2,000
Kuna ukimwi hapo kama hakuna akili nzuri...
Ifm na cbe kazi zao kuja posta mida ya jioni wakizurura zurura wakiuza unajua wanauzaje na kwa style ipi? Wanazunguka zunguka wakizengea lift za wafanyakazi kutoka city centre ambao ni wakware pale oposite na oryx , akiba wako wengi ukisimamisha gari lako ukampa lift mmoja kesho unamgua pichu
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
53,739

Yap. Pale Akiba wapo kibao kuna siku nilipita pale na Range Rover nlikuwa naelekea mitaa ya mtongani. Nilikuwa na wife CUTE tukawabeba wanafunzi. Daah ni hataree juu ya hatari
 
Last edited by a moderator:

KIMAROO

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
453
250
Msisome angalieni watoto alafu mwisho wa siku mwaishiaga kujinyonga nyie
 
Timoso

Senior Member
May 27, 2012
136
195
Pole. We need to expose everything whis is happening in our daily life, and joke is part our our life. If ya too serious nenda kwenye threan nyingine kaka

si kuna jukwaa la jokes lakini? This is academic forum bana, anyway.....
 
Highlander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
3,093
1,195
Kuna ukimwi hapo kama hakuna akili nzuri...
Ifm na cbe kazi zao kuja posta mida ya jioni wakizurura zurura wakiuza unajua wanauzaje na kwa style ipi? Wanazunguka zunguka wakizengea lift za wafanyakazi kutoka city centre ambao ni wakware pale oposite na oryx , akiba wako wengi ukisimamisha gari lako ukampa lift mmoja kesho unamgua pichu

Umefanya description ya scenario ya watoto wa Kike katika maeneo ya CBE na IFM kuhusiana na suala la ngono. Vyuo hivi vina watoto wa Kiume pia. Hii hali inawa affect vipi watoto wa Kiume wanaosoma katika vyuo hivi Mkuu?

Please Discuss the problem as it relates to wa watoto wa kiume katika vyuo hivi
 
Timoso

Senior Member
May 27, 2012
136
195
Pole. We need to expose everything whis is happening in our daily life, and joke is part our our life. If ya too serious nenda kwenye threan nyingine kaka

Nani alianza ongelea jokes sasa?

Saint Ivuga 13:19 Today
By Timoso :
si kuna jukwaa la jokes lakini? This is
academic forum bana, anyway.....

This isnt joke dude.
 
C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,023
2,000
Umefanya description ya scenario ya watoto wa Kike katika maeneo ya CBE na IFM kuhusiana na suala la ngono. Vyuo hivi vina watoto wa Kiume pia. Hii hali inawa affect vipi watoto wa Kiume wanaosoma katika vyuo hivi Mkuu?

Please Discuss the problem as it relates to wa watoto wa kiume katika vyuo hivi

Mimi ni mwanaume nimeona ya watoto wa kike kwa kuwa nina interest nao wa kiume hawanihusu maybe atokee mwanamke aongee anayoyajua kwa wanaume
 
Highlander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
3,093
1,195
Mimi ni mwanaume nimeona ya watoto wa kike kwa kuwa nina interest nao wa kiume hawanihusu maybe atokee mwanamke aongee anayoyajua kwa wanaumeNaomba ufafanuzi hapo kwenye red Mkuu. Ulimaanisha kuwa una interest na watoto wa shule, au?
 
king rockie ATL

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
261
195
Huna akili kabisa wewe,kumbuka hili ni jukwaa la elimu na sio la utumbo wako unaouandika hapa!:A S angry::A S angry:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom