Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
What attracts you most to your village?what is that thing that makes your village indelible in ur heart?
sijawahi fika na sijui nitafika lini....mwenzenu kijijini kwetu ni Gotenberg Sweden kusini....
Huwa nafurahia wale jogoo na mbuzi ninaochinjiwa kila familia niendayo,halafu mila ya kwetu unapotembelea wenyeji wanakupakulia jogoo mzima kwenye chungu(pamoja na miguu na kichwa)hivyo ni jukumu lako na wewe kuwagawia wenyeji uliowakuta mlo huo ila kama hutapenda unaruhusiwa kumaliza mlo wote peke yako na kama hutamaliza wanakufungashia ulamalizie mbele ya safari ni uamuzi wako tu..
Mh wapi huko nikaoe aisee!?? haya ndo makabila..lol! kwetu mpaka uwe baba ndo unapewa kidari...
back to topic: kwenda mtoni jamani...how i love that....
afu wewe inaelekea unapenda sana kuoga mtoni ili uchungulie wendhio, bisha?