JF Wallpapers Part II : DOWNLOAD HAPA

JF Wallpapers Part II : DOWNLOAD HAPA

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,329
Reaction score
111,555
Ndugu wana CC, ikumbukwe kuwa hapo awali nilitoa sample moja ya JF wallpapers...kwa muda nilikua kimya ila sasa nimeweza kuongeza nyingine kama 4 au 5 hivi ikiwemo moja ya Christmas na Mwaka Mpya(Happy Holidays).

Ukitaka kudownload, fuata hii link hapa chini:

SHUSHA "JF WALLPAPERS" hapa:ranger:

Kwa hisani ya watu8
 
daddy je hiyo wallpaper naeza kuitumua kwenye simu????

daughter so far nafahamu kwa android os phones, iphone, nokia lumina inaweza kuingia sijui kwa hizi za low resolution mathalani za kichina n.k.
Nitaweka wallpaper ndogo ndogo kwa ajili ya simu just gimme few days princess!!
Love u!
 
Mie natumia Android OS phone....!
 
Mie natumia Android OS phone....!

.....ooh then tumia hizo zenye low resolution kwanza while am working on customizing then even into resolution ndogo zaidi...
Android OS huwa ina uwezo wa kuextend screen in case una high resolution wallpaper.
 
Back
Top Bottom