jina jipya la 'TIGO'

Wale jamaa noma! Kuna mshkaji wangu polisi ananiambia kwa siku wanaweza wakapata hata milion!
 
Jamaa ving'ang'anizi wale sijapata kuona!Wanakamua hadi waendesha baskeli! Msiwape sifa kuwaita TRA maana wale wanakukamua na risiti hupati.
 
Back
Top Bottom