Do You Believe The World Will End This Friday?

Do You Believe The World Will End This Friday?

Hoshea

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,420
Reaction score
3,777
Wakuu what do you think about the Mayan calendar; inadai the world would come to an end this friday yani kesho eti mazee si masikhara haya, tarehe (21:12:12). The Lord Jesus told us that the time of the end no one knows, even himself. Only God knows. He says it would happen at a time no one expects. Don't get me wrong, the message here is: it doesn't matter when it happens but live a life that will make you go to heaven when it happens, because it will definitely happen one day. And since only God knows, then I believe that indication is false. Lakini honestly bado nina wasiwasi nasikia sir God aliiumba dunia friday eti akarest on friday kuna mafacts kibao sana fatilieni google huko.
So my advice is this ma fellow great thinkers and vice versa tubuni midhambi yenu suluhisha na ulokwazana nae afu tusikilizie sasa hiyo saa sita tonight inakuwaje kama ndo bye bye au fix tu kama za 1[SUP]st[/SUP]January 2000.
 
umeona eeh, sasa sijui tutasocialize aje ase dah.
 
pamoja na NASA kupiga makelel wewe bado tu unakuja na thread kama hii
Wameshasema kuwa ni hoax
 
nmesema Mayan calendar of the Mayan people ndivo ina/ wana vyoclaim, sio NASA soma vizuri kwanza ndo uchangie hoja, infact hao NASA hata ukienda wauliza kama kuna mwisho wa dunia watakwambia "it is hoax" wapo ki scientifically zaidi. Tofautisha.
 
Back
Top Bottom