U mrembo binti,na sio kwamba ninakusifia,hapana ila ndio ukweli wenyewe na hata kama nitaamua kukusifia basi sina shaka kuwa Dunia nzima haitoweza kujaa vitabu vyenye sifa zako.Ila kikubwa...
Bandugu nilikuwa kule jukwaa la stress nikaingia mahakama ya rufaa, nikawa naskia maneno MRUFANI,RUFANI,WAKILI,UCHAGUZI,MUGHWAI e.t.c mwisho wa siku nikaskia LEMA ameshindaaab, hureee kweli GOD...
A womens lib speaker was addressing a large group and said, Where would man be today if it were not for woman?
She paused a moment and looked around the room. I repeat, where would man be...
Wapendwa wana chit chat I'm on my way from Dar to Mbeya with Mama v .Pray for us to have a safe journey. Nitakuwepo Mbeya kwa muda wa juma moja, kwa wana CC mlioko Mbeya PM zihusike ili kama vipi...
Kamati ya kuchunguza na kuratibu kinyan'ganyiro cha ulimbwende wa chitchat iliamua kukaa chini kuchunguza madai yaliyoletwa na watu kuhusu faulu ambazo Madame B amekuwa akizifanya katika...
Jamani haijalishi uko wapi, kwa wale walioko shift za usiku au walinzi wa makampuni, mapolisi nk, hapa ndio mahala pake tupige story mwenzenu nimekosa ucngizi kabisa natafuta washkaji tujipigie...
Leo nimetumiwa hii SMS na mdada mwenye heshima zake, nadhani akiwa na lengo la kunifanya nicheke.
SMS yenyewe inasema hivi:
"Kwa mujibu wa shirika la kazi Duniani (ILO) mfanyakazi bora ni ****...
Mara krrruup!houseboy kazama chumbani kwa mama mwenye nyumba bila hodi.
(Mother house):We Mengi,mbona unaingia chumbani bila hodi,ukinikuta mtupu je?
(MENGI):Hapana mama haiwezekani mimi kukukuta...
jamaa mmoja ilimlazimu kufanya kitendo kibaya sana na kujikuta anabadili jina na kuwa mwanamke,
hii ni baada ya kukutana na list ya watu wengi mkoani mbeya wakianzia na prefix MWA
majina yalikuwa...
All the way from A-town,..niko hapa Italian Pub House-maeneo ya Tabata Chama kuelekea Mawezi tunakunywa na washkaji..ningependa sana kama ningekutana na member wa Jf Dar...
Nb:I will take care...
Asalaam aleykum wanajamvi...........
Napenda kuwakaribisha wanaJF woooooote wa Mwanza a.k.a The Rock City katika ufunguzi wa Chimbo jipya na kali saaaaaaana, Chimbo la wanene...... Chimbo la...
Jana jumapili jioni alisikika MHAYA mmoja pale
Jamaa akiongea kwa sauti mbele za watu.
"Aise dreva wangu, hebu nenda kwenye nyumba
yangu ile nyekundu, siyo ile ya Bunju, wala sio ile ya...
Heshima zenu wakuu. Hope mwaka unaisha salama. Msaada tutani wakuu, kuna movie imeonyeshwa last sunday na ikarudiwa jana usiku EATV. Nimesikia ni full vituko na lugha gongana. Kwa anayejua jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.