MWALIKO: Wana chit chat ungana nami kusheherekea .........

MWALIKO: Wana chit chat ungana nami kusheherekea .........

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Bandugu nilikuwa kule jukwaa la stress nikaingia mahakama ya rufaa, nikawa naskia maneno MRUFANI,RUFANI,WAKILI,UCHAGUZI,MUGHWAI e.t.c mwisho wa siku nikaskia LEMA ameshindaaab, hureee kweli GOD BLESS LEMA AND CURSE CCM,wapi judge Rwakibalila!??? best yangu baba nanilii na Bilila lodge...!!!??? wapendwa mie naanza na mzinga wa KONYAGI kwa ajili ya kumfukuza shetani,..... yaani mwisho wa dunia leo unanikuta pazuriii....karibu tusherehekee wote wenye mapenzi memaa....!!!!!
 
Likitoka hili litakuja jingine tu....hivi unawajua CCM weyee???
 
Baba V kirisimasi huku Arusha imeanza rasmi leo!!! Daladala na bodaboda wamejitolea kupakia abiria bure, isipokuwa taxi ndio wanaleta ukauzu! Huwezi kuamini ofisi za sirikali wanashangilia kama wagonjwa wa mtindio wa ubongo MIREMBE! Ongeza nyagi!!
 
Last edited by a moderator:
Likitoka hili litakuja jingine tu....hivi unawajua CCM weyee???

Wameshikwa kila kona dadadeki, hawana ubavu akili zao za kulilia kadi wale!!!
 
watu8 si useme umempenda ila angalia Filipo asikurushie kitu chenye ncha kali Baba V na Erickb52 habari za masiku
shangilia sana kwwa leo na natoa ofa ya Ndyofu kwa Erickb52

Ndo niko katikati mzinga wa pili huu, yaani na hivi leo ndo mwisho wa dunia raha tu,akija ziraili nampa tano naendeleza kanywasi
 
Last edited by a moderator:
Ndo niko katikati mzinga wa pili huu, yaani na hivi leo ndo mwisho wa dunia raha tu,akija ziraili nampa tano naendeleza kanywasi
Baba V angalia tuu maana akija ziraili atachukua mpaka visivyochukulika Erickb52 amepotelea wapi au yuko na mke yupi leo
 
Last edited by a moderator:
Afu na wewe unajua sikuelewielewi juu yako na Dena Amsi na sweetlady, juzi kati kaingia mtu humu anajiita mume wa Dena Amsi na hali kadhalika naskia sweetlady nae sijui kaingia kwa Filipo ,hebu lete ufafanuzi

Dena Amsi ni mke wangu halali huyo mwingine anayejiita anamtaka Dena Amsi ana mashetani ya kikwao na inabidi akapelekwe kwa mchungaji au padri yakaombewe haswa Erickb52 sweetlady we yaache tuu wala usiyatafute yanamalizwa kimya kimya wala hakuna ajuaye mwanzo wala mwisho na mimi na sweetlady tunaimba kwaya pamoja na tunaenda mazoezi pamoja so usiwe na shaka Baba V
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom