JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani watanzania tunaenda wapi, kwa tukio lilitokea jana kwa KUPIGWA RISASI PADRI tena siku x-mass?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo nimepanda kibasi kutoka ubungo,konda kasema tunaenda mwenge,kwa kuwa mimi ni mshabiki sana wa mwenge hasa unapokuwa unapita kijijini kwetu na ni muda mrefu siajuona,nikapanda kibasi,vuup hadi...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Jamaa mmoja alimuomba rafiki yake ampeleke mombasa kununua ndege aina ya Tausi, basi kila walipopita walikuta panauzwa Kasuku tu, wakaamua kumuuliza muuzaji ni wapi panauzwa Tausi, basi yule...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kutokana na mishe za jana leo tuna deal na supu chapati na krest soda.maana chai haitopanda kabisaaa!
0 Reactions
27 Replies
3K Views
au wengine mmenatana jamani.... Eeeeh!
0 Reactions
264 Replies
11K Views
Kuna jamaa mmoja alkuwa akhishi maisha magumu baada ya kuhangaika kutafuta maisha kwa mda mrefu bila mafanikio ndipo jamaa huyu alipopata wazo la kujiua ili mradi aepukana na maisha magumu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wapi nitapata mwaliko mie, hadi muda huu ndio maji ya ugali yanabandikwa hapo ni baada ya furu na mboga ya maboga kuivishwa. Mbaya zaidi kwa majirani ndio kumekolea, hapa pua zangu...
0 Reactions
76 Replies
13K Views
Chit - Chat member hawajafanya makosa kumchagua na kuendelea kupiga kura zao kwa madame B! cku chache zilizo baki kwa pamoja tuungane kuhakikisha madame B anashinda, kwani anavyote ambavyo kila...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Jaman nmetabiliwa kwamba ntakuwa tajr''billionaire'' kesho nkiamka. Haya xaxa leta dada,shangaz,bnamu,ka we mwanamke,njoo mwenyewe nkuoe maana nafasi n chache xana na uxje ukajlaumu umekoxa nafac...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
- Mbona umenenepa hivyo? - Umeoa? Maswali gani yasiyo na tija huwa yanakukera mwenzangu? #MaswaliYaOvyo
3 Reactions
33 Replies
2K Views
napenda kuwatakia sikukuu njema yenye furaha tele memba wenzangu wote wa jamiiforums. Hizi salaam zimfikie pia Invisible na mamoderators wenzake. mungu azidi kuwabariki. mia
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Nawasalim ndugu zangu wote wa Jf wanaonifaham na wageni pia, namic sana topic na michango yenu. Kiukweli shule inabana lakini tuko pamoja jamani. HAPPY BOXING DAY...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
mhhh niliwamiss charminglady na Elizabeth Dominic , afu nasikia kuna dereva wa daladala la msuto Nicas Mtei anahonga faranga tu, angalia sana mwenye mji nimerudi, yasije kukupata yaliyo mpata...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Mwanamke zuzu alikuwa na mchumba wake zuzu kama yeye, lakini mwishowe uhusiano ulivunjika. Sasa huyo jamaa alikuwa akimsumbua sana kumpigia na kumtumia sms na yule mwanamke kwa simu kila siku...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
inavyosemekana ni kwamba xmass imepoteza jna lake, hii imetokana na zamani hadi poverty people walikuwa wako active wakiremba pamoja na kupamba ndani pamoja na kula ubwabwa, also watoto kuvaa nguo...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
A man in Newfoundland calls his son in Calgary two days before Christmas and says, "I hate to ruin your day, but I have to tell you that your mother and I are divorcing; forty-five years of misery...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MOSHI = Mungu Onyesha Hela ilipo ROMBO = Ruhusu Ongezeko la Mapesa Bila Ombaomba HIMO = Hata Ikipungua Mungu Ongeza MARANGU = Mungu Angalia Raia Ngawira Utuhakikishie MAMBA = Mungu Ahidi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Bila shaka mie mzima, mie ambae nipo ktk kamati ya ufundi naona mambo sio mabaya.kipipi nitafutie paka mweusi nataka nimtume akanichimbie mzizi mkavu.arabela lazima awe king ast. Naona vigagula...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Kama ingetokea Mungu akakupa nafasi ya kupata jicho la tatu ili kukurahisishia shughuli zako, Je ungependa liwekwe wapi?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Usiku mwema. Naona wengi mmesha kimbilia ukumbini kusuguana humo. Mie napanda kitanda changu cha kamba. BYE.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom