Safarini mbeya....!!!!

Safarini mbeya....!!!!

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Wapendwa wana chit chat I'm on my way from Dar to Mbeya with Mama v .Pray for us to have a safe journey. Nitakuwepo Mbeya kwa muda wa juma moja, kwa wana CC mlioko Mbeya PM zihusike ili kama vipi Christmas tuwe pamoja. LOVE YOU ALL. Here I come THE GREEN CITY
 
Last edited by a moderator:

Mungu awe nanyi mfike salama na sikukuu njema
 
Last edited by a moderator:
Safari njema kaka, wasalamie wote wa Mama John....waambie nitawaletea nazi za Dar
 
Safari njema Baba V ingawa sijui unatoka wapi.
 
Last edited by a moderator:
Mbona umeniacha dar?aisee kumbe ilikuwa chombeza tu na kuna mama v teari?
 
Hahaha...pole mamito, baada ya jana kujivinjari nawe na IGWE mitaa ya TBT leo kasepa kimya kimya!
 
Safari njema kaka, wasalamie wote wa Mama John....waambie nitawaletea nazi za Dar

Ahsante sana kaka,ntawasalimia kote hadi sae,ilomba,makunguru na kwingineko
 
Mbona umeniacha dar?aisee kumbe ilikuwa chombeza tu na kuna mama v teari?

Ulinchoma kumoyo jana hadi nikaona krimas ya dar itakuwa chungu nikaamua nitimkie zangu green city
 
Back
Top Bottom