Huyu atakuwa kabila gani???

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
2,000
Jana jumapili jioni alisikika MHAYA mmoja pale

Jamaa akiongea kwa sauti mbele za watu.

"Aise dreva wangu, hebu nenda kwenye nyumba
yangu ile nyekundu, siyo ile ya Bunju, wala sio ile ya
Kunduchi, ila ile ya Masaki.... Lakini usiende ile ya
Chole Road, wala ile ya Msasani Road, nenda ile ya
Kenyatta Drive!!!
Fungua geti lile jeusi la chuma , tumia rimoti
usifungue vingine.... Ukiingia utakuta VX yangu,
achana na hiyo angalia ile Benz ya Bluu ambayo
pembeni yake kuna BMW... Sasa pembeni kidogo
utaona HUMMER NYEUSI, fungua buti, utakuta mabegi
ya hela kuna moja lina EURO acha hilo, wala
usichukue yale yenye POUND.....
Fungua moja kati ya yale yenye noti za dola mia mia,
utakuta funguo za mabriefcase yangu ambayo yako
ndani.... Ukishachukua funguo nenda mpaka ghorofa
la 3, ingia chumba anacholala mbwa wangu yule
KOKU ambacho ni kile chumba cha pili, acha kile
ambacho zamani walikuwa wanalala PAKA...
Ila plzzzz, ukifika gonga mara tatu kama mbwa
wangu koku atakuwa hajalala ingia chumba cha pili
ambacho wanacholala watoto wake... Angalia vizuri
coz kinafanana na cha mama yao ambacho ukiingia
chini ya ile plazima TV utakuta meza ina decoda na
playstation 3, sasa kwa pembeni utaona briefcase 3,
moja lina noti za elfu 5 5, la pili lina noti za elfu 10 10
na la tatu lina elfu 2 2... Chukua sasa noti za elfu
kumi kumi kana laki tano....
Ila hakikisha wale watoto wa mbwa wanabugger za
kutosha kitandani kwao kabla hujatoka.... Then
ukishachukua naomba ukaninunulie chupa 3 za maji
pale kiwandani COCA COLA KWANZA uniletee...
Sawa!?!?"
 

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
66,073
2,000
MDADA: Unakunywa pombe?
MKAKA: Hapana
MDADA: Unavuta?
MKAKA: Hapana
MDADA: Una mademu?
MKAKA: Hapana MDADA: Sasa unajichanganyaje na washkaji?
MKAKA: Mi muongo ile mbaya
 

anin-gift

Senior Member
Feb 17, 2012
168
225
Na huyu muuliza swali ni wa wapi- " kwani kati ya Nricho Ngacha na Mucha Achani N'gochi wepi akichezea chimba?"
 

wanna

Member
Dec 16, 2012
76
0
Njomba Nchumali mimi nataka kwenda njini nimechikia njomba nkapa amepata unyerere.

na inasemekana enzi hizo karne iliyopita akifa njomba anazikwa ndani ya nyumba yake halafu wanamuaga wakisema huko unakokwenda waambie huku hamna watu tena we ndo wa mwisho kisha wanahama kabisa eneo hilo ili wasife
 

molely molly

JF-Expert Member
Nov 28, 2011
317
0
Advice kwa jamii forum jamani wafungulieni jukwaa la umbea mwanaume akiwa hivi anaelekea pabaya ...........Jipange:violin:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom