mkuu mie nakumbuka enzi za bakurutu, ilikwa mwake haswa.
Mkuu mie nakumbuka enzi za bakurutu, ilikwa mwake haswa.
Walikua wananiita. Yeboyebo
umenitamanisha sana na hiyo bakurutu! Nai miss sana!
Lakini ilikuwa soko la machangudoa......................... niliwahi kusumbuliwa sana eti kaka niguse yakwangu kavu lah!
dah bakulutu la saba saba dah nalimiss sana aise
Sijui ukumbi mpya unaojengwa moshono pale na unafunguliwa xmass hii kama utakuwa na hadhi ya saba saba japo naona watu washaanza kuusifia Mungi karibu moshono na Lily Flower

Hii kitu ya Moshono itakuwa kali balaa!!Kuna bonge la ukumbi wa Disco!!!(World Garden)!!
Mr Rocky siku ya ufunguzi hakuna kukosa!