JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanawake bwana, anagombana na wewe dakika 40 nzima anaongea halafu anamalizia "hata sina muda wa kugombana na wewe"!
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Baba wa kichaga (mtu mzima) ambae ana mtoto anafanya biashara zake akirijea kutoka kwenye kazi zake za kila siku. Wakati akirejea siku hiyo mwanae (mwanaume) huyo alikuja kuwasalimia wazazi ila...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hello...! Nikaribisheni humu
0 Reactions
4 Replies
763 Views
Chonde chonde wanaJF, ukisikia mwenza wako ana nyumba ndogo usikurupuke bali uliza kama ina vyumba vingapi?
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza hebu tupeane mastori ya kipindi fulani. Nyie wa shule huu uwanja wa leo sio wenu, nendeni mkasome. mama zenu na baba zenu tunapiga story. Hivi wakubwa wenzangu mnakumbuka kipindi...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
MAma mmoja yeye huamka saa kumi na moja asubuhi, akoke moto, akande unga na kisha atengeneze chapati za kuuza. Hii ni kazi yake ya kila siku. Anti huyu amekuwa akipika chapati kwa miaka mitano...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii ni Karama ambayo nimebarikiwa na mwenyezi mwenyewe, Hivyo kwa wale wanaotaka kujua nyota zao za bahati na mambo mengine ya utabiri wasisite kuwasiliana na mimi. Gharama zangu ni nafuu...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
src majira nyuzpepa Nudug zangu wa majira nahsi mnaelekea kwa shigongo nowdays ..si vyema kuandika story na kuishia kutaja waziri huyu jina tunalihifadhi..kwenye gazeti kama majira Waziri amwaga...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/545764-miss-chit-chat%3B-walioingia-kumi-bora-ndio-hawa%3B-piga-kura-sasa.html Wadau wa chit chat ingieni basi kwenye hii thread Mpigie kura Lady doctor...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
http://youtu.be/EmlMY4nhLpk Amazing wildlife video shows crocodile taking down a warthog Amazing wildlife video shows crocodile taking down a warthog | GrindTV.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Asalam aleykum jamanii!!! Bwana yesu Asifiwe!!! Mashaalaah mmependeza!!! Watu mpo ng'aring!ari eeeee mmependeza kwa kweli!! Embu dj @FixedPoint tuwekee ule wimbo wa marehemu Omary Kopa kitchen...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Eti siyo kila akwambiaye i love you anamaanisha. wengine wanajifunza kuongea Kiingereza!!!!
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Si kila mwanamke anayetafuna Big G ni kocha wengine wananuka mdomo!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwana jamii, nipo hapa kisiwani Zanzibar mpk saa 8.halafu nitaelekea Pemba.Tutafutane muda huu niko migombani JAMBO INN.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
BARUA YA WAZI KWA SIR GOD eeeeeh mungu nihurumie mwanafunzi wako wa kidato cha 6, mwanzo walianza kuturefushia mdaa wakasema tumalize mwezi wa 5 tukakubali, PILI wakaja tena eee...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwalimu: taja madini yanayopatikana Tanzania. Mwanafunzi: maisilamu, masabato, malokole na maromani. Mwl; safi sana mpongezeni HIYO NDIO BIG RESULTS NOW! na huyu lazima apate division 5
0 Reactions
2 Replies
2K Views
niko kipandee hii kwa wiki moja.tutafutane
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Mabibi na mabwana,mabrazameni na masista du,je nataka nijue hivi unapokuwa LONG CALL UNAJISIKIAJE?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ticha kaingia darasani aya wanafunzi leo tunaanza na vitendawili dent wa kike : kitendawili wanafunzi : tegaaaa dent wa kike : nivue nguo nikupe utamu ticha : toa ujinga apa ndo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom