mdada kachukua simu ya mpenzi wake akaibip ili aone mpenzi wake kamsev kwa jina gani. Akajua litatokea jina kama Wife, honey, sweety au mpenzi. Lahaula jina lililotokea Agustino Fundi Majeneza.
jamani huyu jogoo leo hana usingizi kabisa sasa saa hivi saa nane usiku eti anawika kuashiria kukuche haraka .......sijui kapata demu mpya ndomana hapati usingizi kila saa anamuawaza mi hata sijui
Ni story ya zamani Kidogo, story ya kuchomeshwa mahindi na zaidi kuzomewa na watoto wa kijiweni
Wakati huo hata hz simu hazikuwepo hz za mkononi nikakutana na kimwana mmoja akanipa ahadi ya...
Ile kauli maarufu ya Mhishimiwa sana Pii Emu wa inji yetu kumbe ni mwendelezo wa kauli za Memba mwenzetu Washawasha ambaye mwaka 2011 alitoa kauli kama hiyo kwenye uzi wake huu...
Habari zenyu bhana!!!!!!!
Miaka ya nyuma hivi kulivuma makundi yafuatayo:-
1. Backstreet Boys
2. Boys II Men
3. Westlife
4. N-sync
5. Boyzone
Mie nakumbuka nilizitumia nyimbo zao kama...
Niko Hapa bonde la mkwajuni, nimepaki gari Nimeshindwa kuendelea na safari nilionja kitu ya Arusha hapo mtaa wa Wibu kinondoni kwa jamaa yangu
Sasa naona kama dunia inapinduka nk chini ya...
Wadada mnaogombea hiyo nafasi na mnaitaka kura yangu, basi mkiniandikia PM mnipe na dau lenu kabisa ili nijue nani anastahili kura yangu siyo mnaomba omba tu kupigiwa kura bure bure...
Kama na...
Ni maneno mazito sana kumtamkia mtu hata kama amekukera kiasi gani, huna miadi na Mungu kwamba utatangulia wewe kufaulu na kama utakufa hicho kifo cha kuzikwa,
Wengi walifia majini wengine...
Wana Chit chat heshima kwenu,
Naomba nitambue uwepo wa Mwenyekiti wa jukwa na wanachama wote,
Cha mnoo leo ndugu zangu ni kuwaomba tuiunge mkono serikali yetu katika mpango wa MATOKEO MAKUBWA...
Sio kila anayeonekana Online kwenye Whatsap yuko interested kuchat..Hata kaa ni mpenzi wako...Yaani hamna kitu nalaani kwenye Whatsap kama hii kitu inaitwa 'Last Seen at'
Imekaa kimbea...
Habar zenyu wanajf..ope mko poa ladies n gents..kwa wale watakao.kua interested..mnakaribishwa kueka ur numbers apa kwa ajili group letu zuri la watsup lilopungukiwa na warembo..ladies tunaomba...
Hivi walivyo Muumba kawanyima mgao wa misuli , nguvu , ujasiri , na ubaramaki nanga zinapaa !!
Wangapiwangapi mijadume tunaiona ikizidiwa power za kiutendaji na wapenzi wao !
Janadume la haja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.