Mwalimu Na Mwanafunzi...!!!

Mwalimu Na Mwanafunzi...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Mwalimu: taja madini yanayopatikana Tanzania. Mwanafunzi: maisilamu, masabato, malokole na maromani.
Mwl; safi sana mpongezeni
HIYO NDIO BIG RESULTS NOW!
na huyu lazima apate division 5
 
Hahahaah! Huyo mtoto bhana, ni wa kupigwa.
 
Back
Top Bottom