SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,359
Baba wa kichaga (mtu mzima) ambae ana mtoto anafanya biashara zake akirijea kutoka kwenye kazi zake za kila siku. Wakati akirejea siku hiyo mwanae (mwanaume) huyo alikuja kuwasalimia wazazi ila alivyofika nyumbani alimkuta Mama na maongezi yaliendelea kama kawaida wakati wakimsubiri Baba. Baba alivyofika kuingia sebuleni akawakuta na akaanza kutoa salamu kwa mtoto. Salamu aliyosalimia (weka lafudhi ya Kichaga) ni SHIKAMOO MTOTO!!!!!!! Mama akauliza (lafudhi ya kichaga) mbona mtoto unampa Shikamoo, Baba akasema (lafudhi ya kichaga) HUYU MTOTO ANA HELA KWA HIYO ANASTAHILI SHIKA..., SHIKAMOO KWELI..!!!!!!!!!! CHEZEA HELA WEWE