ukweli mtupu

ukweli mtupu

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Wanawake bwana, anagombana na wewe dakika 40 nzima anaongea halafu anamalizia "hata sina muda wa kugombana na wewe"!
 
awe mwimba taarabu sasa!
 
Ahahahahahaja hizo dakika 40 ilikua trailer tu hata mchezo wenyewe bado thats why anasema hivo lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom