Kitendawili

Kyooma

JF-Expert Member
Sep 20, 2013
224
98
ticha kaingia darasani aya wanafunzi leo tunaanza na vitendawili
dent wa kike : kitendawili
wanafunzi : tegaaaa
dent wa kike : nivue nguo nikupe utamu
ticha : toa ujinga apa ndo kitandawili gani aya toa jibu mwenyewe
dent wa kike : NDIZI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom