Mvua ilikuwa kali kwelikweli wiki nzima bila kusimama,siku hiyo ilianza kunyesha toka saa 2 asubuhi mpaka saa 4 usiku bado haijasimama,ikabidi jamaa ampigie simu demu wake.
JAMAA:habari ya uthiku...
A:Yaani mie napenda ila sipendwi,aah yaani nimechukia kabisa hadi nimeacha kuoga...
B:Yaani mie nakuita hata huitiki,aah yaani nimechukia hadi nimepoteza hela....
C:yaani mie nimeanguka shimoni...
Habari zenu Wana CC???
Kwa kutumiaJF app ama JF
mobile version haikubali kupiga kupiga kura kwakuwa ike poll haisapoti.
Tumia Desktop version
Hatua:
1. Fungu JF kwa kutumia
browser (...
Kama wewe ni mwanaume mtanzania na unahisi una mapenzi ya kweli naomba tuwasiliane ili nikuunganishe na huyo binti.
Maisha yatakua UK.
Vigezo,uwe na umri kati ya 27-35,uwe hujawahi kukutana na...
Ndugu waungwana wana chit chat salaam..
Naleta hoja hii mbele yenu ili tujadili na kufikia hitimisho la hiki kinachoendelea kwani ni dhahiri kuwa kuna kila dalili za mchezo mchafu unaofanywa...
Hii ilikutwa kwenye mtihani alofanya mtoto wa kihindi wakati akijibu
maswali ya methali
swali; bandu bandu.....
Jibu: Iko dugu yake patel iko nakaa bombay
swali: Mtaka cha uvunguni...
Konokono wote ni "Hermaphrodites"
Kwa maana wanamiliki jinsia mbili (kiume na kike).
Kwenye kujamiiana wanaviziana, atakayeruhusu kupandwa ndiye atataga mayai.
Fikiria binadamu tungekuwa kama...
Wiki kadhaa zilizopita baada ya Arsenal kupigwa na Chelsea, akina dada walilalamika kuwa waume zao hutoka na stress za mpira hadi nyumbani, halafu wanawanyima........kuna hatihati leo wakanyimwa...
katika pitapita zangu nimekutana na hii zaburi.Nilipouliza nikaambiwa ni maarufu sana pale LEO TUPO HAPA PUB....hasa siku za mwisho wa juma....
Pombe ndiye mchungaji wangu sitapunguwa na pesa...
Wakuu
its not meant to be a humorous thread ila kiukweli tangu nianze kula wali aisee hakuna kitu nakikubali kama ukoko. Kabla ya yote kuna aina kuu mbili za ukoko, wa juu na wa chini. Hapa...
Me namshukuru Mungu kwa wale wote walionitia nguvu na kunipa moyo kwa magumu ninayopata,Mungu awabariki sana,leo nimeamka vizuri tu,ushauri wenu umenifanya niwe na amani,kwa aliye mpweke tunaweza...
Baada yakuona mwanamke nimpendae kabadilika gafla,nikimuuliza ananijibu Baby we haunijali.Ikabidi niende kwa shemej yangu(Dadaake) kupata ushauli, na huu ndo ushauli alionipa
Shemeji kweli...
Eti jenerali wa jeshi la marekani alitembelea China akapelekwa kambi moja ya jeshi. Akiongea kiingereza na jenerali wa kichina anawatafsiria askari wake kwa kichina. Baada ya kuhutubia mambo rasmi...
Nimewakumbuka sana wana jamvi hope mko poa na mnaendelea na majukumu zenu za kila siku nichukue nafasi hii kuwapa pole wale wote waliopoteza wapendwa wao na wale wote walifikwa na magonjwa tofauti...
Nmepigwa na bumbuazi baada ya kuona Ruhazwe JR kaingia mitini.
Alisema tupendekeze majina tukapendekeza, baada ya kuona Arabela amekuja kwa kasi baada ya kujikusanyia kura nyingi kaamua kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.