Niko Zanzibar kwa masaa 4

Niko Zanzibar kwa masaa 4

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,365
Reaction score
2,064
Mwana jamii, nipo hapa kisiwani Zanzibar mpk saa 8.halafu nitaelekea Pemba.Tutafutane muda huu niko migombani JAMBO INN.
 
nashukuru sana sometimes
 
mwanaume Kama mbwa.riziki popote kaka
 
yeah kaka nimefika pemba tangu saa tissue.ila nilikuwa na kikao na wenyeji na kupelekwa pale jku bar kupata mambo yetu
 
Jku pub kaka washawasha
 
Back
Top Bottom