vivian
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,825
- 1,307
Kwanza hebu tupeane mastori ya kipindi fulani.
Nyie wa shule huu uwanja wa leo sio wenu, nendeni mkasome. mama zenu na baba zenu tunapiga story.
Hivi wakubwa wenzangu mnakumbuka kipindi ulivyopigwa panga la retrenchment maisha yaliendaje?
Mimi nakumbuka nilikua napata mlo mmoja kwa siku angalau ni save. siku niliyopata barua kwanza nilijisikia kama mtu anavyojisikia kabla ya kuzimia.
wakati niko njiani na barua yangu naenda home nilikua naona kama ndoto mpaka kesho yake ndio nikaamini kweli panga la retrenchment limepita.
sasa wale mashosti zangu walikua wananipigia simu kuniita kwenye bia wakapotea ghafla. Yaani hata wanaume wakunitongoza walipungua, hivi nyie wanaume kumtongoza mtu mpaka awe na kazi?
Hebu tupieni ma expirience yanu hapa ilikuaje mlivyo chacha ilikueje? sio ila ya kuchacha tar 20 ukisubiri mshahara tar 30 noo!!! namaanisha ile kuchacha mpaka ukikamata buku tano unatamani utoe coppy na wewe ukumbuke kuna siku ulikamata 5,000/=
Hebu mwaga story! ilikuaje kwako?