China ni amri tu!

China ni amri tu!

okon

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2008
Posts
305
Reaction score
92
Eti jenerali wa jeshi la marekani alitembelea China akapelekwa kambi moja ya jeshi. Akiongea kiingereza na jenerali wa kichina anawatafsiria askari wake kwa kichina. Baada ya kuhutubia mambo rasmi akaamua kutoa kichekesho. Sasa akasimulia kichekesho kwa muda wa dakika tano. Generali wa kichina akaongea sentensi moja tu, askari wake wakacheka dakika tatu nzima. Huyu mmarekani akamuuliza bosi mwenzie mbona yeye amesimulia kwa dakika tano nzima yeye kaongea sentensi moja tu lakini vijana wamecheka sana? Akamwambia nimeona joke ni ndefu sana nikawaambia UMETOA KICHEKESHO, WACHEKE KWA DAKIKA TATU. NDIO WAKACHEKA
 
Teh teh teh teh. Kweli jeshi ni nidhamu. Hata hawajachekeshwa wanacheka kwa kua ni amri? Hili balaa
 
hiyo amri hata mimi ingenifanya nicheke..... Duh!!
 
Kwa hiyo ukipewa amri ya
kunya..unakunya
Jamba...unajamba amakweli jeshi ni amri tu na utekelezaji bila kuuliza
 
Back
Top Bottom