Masika Time

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Mvua ilikuwa kali kwelikweli wiki nzima bila kusimama,siku hiyo ilianza kunyesha toka saa 2 asubuhi mpaka saa 4 usiku bado haijasimama,ikabidi jamaa ampigie simu demu wake.
JAMAA:habari ya uthiku mpenzi?
DEMU:safi tu mume wangu,niambie
JAMAA:mvua leo inanyesha kwelikweli basi mvua ikiwa inanyesha hivi huwa nakukumbuka sana demu wangu
DEMU:najua c baridi inakusumbua kwahiyo unataka nije nikupe joto
JAMAA:hapana,nafikiria nikutume shamba ukamsaidie mama kulima viazi vitamu
 
Teh te teh eee .... We Demu imekula kwako. Unasubiri kipindi cha masika ? Wenzio wanakunywa chai muda wo wote
 
Back
Top Bottom