donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Wakuu
its not meant to be a humorous thread ila kiukweli tangu nianze kula wali aisee hakuna kitu nakikubali kama ukoko. Kabla ya yote kuna aina kuu mbili za ukoko, wa juu na wa chini. Hapa ninaozungumzia haswaa ni ule wa chini. Aisee sijui hua kuna siri gani ya upishi inayofanya niupende ukoko. Yani tangu zamani nyumbani unazuga zuga ili uwe wa mwisho kupakuliwa ulie kwenye sufuria ili ufanye mchakato wa ukoko. Halafu ukoo hauna finite time, mda wowote tu unaweza ukagonga fresh. Usiombe asubuhi uamke na kiporo cha ukoko halafu unafanya kama kukimwagia maharage hivi, unaweza ukawa unakula huku unatoa chozi la furaha. Vile i know obviously kwamba we differ as we come from different backgrounds like kuna those privileged ambao since childhood 'chamzaramo' (wali) was on daily basis lakini pia kuna those like us ambapo kula wali was a blessing n' you'd expect all kids kuoga mapema na kucheza not far from home ili kiiva tu then moms hato-shout kwa sana coz mtakua mpo around.
All in all, ukoko ni mtamu, na naupenda sana.