muandaaji miss chit chat kaingia mitini na zawadi za mshindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

muandaaji miss chit chat kaingia mitini na zawadi za mshindi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by figganigga, Oct 31, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  Nmepigwa na bumbuazi baada ya kuona Ruhazwe JR kaingia mitini.

  Alisema tupendekeze majina tukapendekeza, baada ya kuona Arabela amekuja kwa kasi baada ya kujikusanyia kura nyingi kaamua kuingia mitini. Sasa mheshimiwa ulitaka nani ashinde?

  Njoo umpe vocha yake Arabela. Kama vipi ntaandamana hadi kwa Invisible.Ninacho muomba Arabela ni kuwa mvumilivu coz ntahakikisha anapata zawadi yake ya ushindi. Nashangaa kwanini kila uchaguzi wa bongo kuna kuchakachua. Twaomba zawadi zetu.Ni hayo tu.

  mia
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hehehehe! kafanyaje!!! Ruhazwe JR Lundenga njoo haraka ujibu tuhuma hizi ni nzito sana, fanya fasta kabla hatujaanza maandamano!!! lete zawadi ya Arabela
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Jamani haya mashindano yamefanyika mi nikiwa wapi? Si tulipendekeza majina tu? Ila Arabela ndo alitajwa sana!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. GREAT VISIONAIRE

  GREAT VISIONAIRE Senior Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ni upepo tu huu utapita tu :smile:
   
 5. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Yani da kipipi, Baba V na mzee wa mia nashinwa kuelewa imekuaje mpaka Lundenga akakimbia.
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hatukukubali, lazima aje hapa!!, wee, kampeni zote zile hadi nimechukiwa na waume za watu baada ya kuwa PM wake zao!!
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Mpaka sasa hivi tunajua jina pendwa ni Arabela, akichelewa tunajitangazia wenyewe! Tunamshukuru mzee wa mia figganigga kwa kutoa hii habari ili lundenga aione!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Tulieni huyu mtu file lake halina rekodi mbaya, nnamfahamu long faka!
  Then hajaanzia hapa Jf kudhamini makitu ya kiivi .
  Soon atakuwepo, jana nimeongea nae kwa simu kachepuka mara moja Apolo hosp India , kampeleka mwanae kung'oa jino.
   
 9. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  yaani nachanganyikiwa. au kuna kitu chochote ulicho mnyima?. kama vipi omba ushauri kwa Remmy akuambie ilikuaje akapewa zawadi. mia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  sio upepo bali hiki ni kimbuka. na kikipita kama hakitaondoka na nyumba basi kitaondoka na bati. ngoma ikiwa nzito tutamchagua mtu atutangazie Arabela kama mshindi halafu tunampa zawadi wenyewe. haiwezekani ushindi wa mtu uchakachuliwe hivihivi nasi tukubali. mia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  hongera Arabela! kama vipi zawai samehe tu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  pole mpendwa Baba V yote sababu yangu
   
 13. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  na kweli tunajipa wenyewe taji la ushindi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  nachanganyikiwa kweli yani. Remmy mpendwa nipe maujanja mbona kwako hakukimbia?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ahsante my dia cacico lundengo kala kona
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,629
  Trophy Points: 280
  mia lazima ikuume kwa kuwa ulikuwa mmojawapo ya fadhili wakuu wa huyo miss mtarajiwa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  he! kumbe na mia ilimhusu!?.. mbona Arabela hajanambia bana!?.Sisi tunataka tukupendekeze wewe ututangazie mshindi kama anavyo fanya rundenga au tma(tanzania music award). mia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,350
  Likes Received: 2,688
  Trophy Points: 280
  huyu Arabela lini katangazwa kuwa mshindi mbona kama sielewi hivi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mbona ghafla sana majaji wako wapi watupe summary zao ?
   
 20. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  ndo tuko kwenye mpango wa kumtangaza coz ambaye alitakiwa kumtangaza haonekani. mia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...