Ona, huyu

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Hii ilikutwa kwenye mtihani alofanya mtoto wa kihindi wakati akijibu
maswali ya methali
swali; bandu bandu.....
Jibu: Iko dugu yake patel iko nakaa bombay
swali: Mtaka cha uvunguni......
Jibu: Iko na binua tanda
swali: Simba mwenda pole....
Jibu: Iko fungwa na yanga
swali; simba akinguruma...
Jibu: Yanga yote nakimbia
swali: Zimwi likujualo....
Jibu: Iko fata veve hadi jumbani yako
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mtendeni alipiga picha ya pamoja na
wanafunzi wote wa shule yake, akasafisha kopi kibao na kuhamasisha
watoto wote wanunue. Akapiga debe akisema:-
"Hebu fikiria, mtakapokuwa wakubwa mtaangalia picha hii na kusema
'ona, huyu ni Juma, sasa ni waziri wa elimu, ona, huyu ni Pendo,
waziri mkuu' kwa hiyo nataka wote mnunue nakala ya picha hii kama
kumbu kumbu."
Mtoto mmoja akagoma kununua na akamwambia mwalimu, " Mimi siwezi
kununua kwa sababu nakupenda mwalimu. Wakati tutakapokuwa tunaoneshana
mawaziri na wakurugenzi, wengine watasema' Ona, huyu ndiye mwalimu
mkuu wetu, sasa ni marehemu........"
Mwalimu akadondoka, akazimia
 
ha ha ha ha ha ha,,,,,,,,,,,,,,,umetisha mwamba hehehe,,,,
 
Back
Top Bottom